TBCLIVE: JAMBO TANZANIA FEBRUARY 3, 2021: EDUCATION AND RESEARCH
Mahojiano ya moja kwa moja na Mkurugenzi Mkuu Dr. Magreth Mushi na Meneja Huduma Stephan Mgaya kipindi cha Jambo Tanzania kupitia TBC 1 asubuhi ya Jumatano tarehe 3 February 2021. Mada kuu ikiwa ni Elimu na Utafiti ambapo mkurugenzi mkuu na meneja huduma walipata nafasi ya kueleza shughuli na mikakati mbalimbali ya TERNET katika kukuza na kuendeleza maendeleo ya kidijitali kwa taasisi za elimu na utafiti nchini.